0

UNAWEZA KUJIUNGA NASI HAPA MOJA KWA MOJA ..Bofya HAPA ULIKE PAGE YETU!..

Ambasador Sc, Imezidi kuzigaragaza timu zinazoshiriki ligi daraja la pili ngazi ya mkoa wa shinyanga baada ya juzi kuifunga timu ngumu kwa jumlaya magoli 2 kwa 1 segese united katika mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa shule ya msingi Segese.

Aidha kwa sasa ambasador imeelekeza makucha yake katika mchezo wa kesho dhidi ya Home boys ya Isaka katika mwendelezo wa ligi  hiyo

Msemaji wa Ambasador Ndalike Said Sonda "Kocha Mkongwe "alisema timu hiyo imejipanga kunyakuwa ubingwa wa mkoa ili kushiriki michuano mingine ya taifa na hatimaye kupanda ligi daraja la kwanza.
www.ndalike.blogspot.com

LIKE PAGE YETU HAPA CHINI

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Facebook Plugin by NDALIKE SONDA MEDIA

Post a Comment

 
Top