UNAWEZA KUJIUNGA NASI HAPA MOJA KWA MOJA ..Bofya HAPA ULIKE PAGE YETU!..
Katibu wa uenezi na msemaji wa CCM Bwana Nape Nnauye amesema Kamati kuu Bado inaendelea na Vikao vyake usiku huu na mara baada ya kikao kuisha wata tangaza matokeo ya 5BORA
Mara baada ya kutangazwa yatapelekwa Halmashauri kuu ya Taifa (NEC) Kuchujwa tena ili Ipatikane 3BORA,ambapo Halmashauri kuu hiyo watakutana kesho asbh majira ya saa nne,
Na mara baada ya hapo hiyo 3BORA itapelekwa Mkutano mkuu wa Taifa ambao hao ndo Daraja la mwisho kumchomoa mmoja atakayepata nafasi ya kupeperusha bendera ya CHAMA CHA MAPINDUZI CCM KWA MWAKA 2015.
Nitaendelea kukuhabarisha ......Nikutakie Usiku mwema.....endelea kufuatilia kwenye ukurasa huu.....
www.ndalike.blogspot.com
LIKE PAGE YETU HAPA CHINI
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Facebook Plugin by NDALIKE SONDA MEDIA
Post a Comment